Couples Verification!

Couples Verification!

Japo nimechelewa kuuona bandiko.


Hivi ile ya kwangu na mdogo wako Nivea malengo hayakutimia???.

Nasubiria jibu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Huna mamlaka ya kuwatbua wenza.
Na hata kama unayo, nani kakupa?
Na lini amekupa?

TANGAZO HILI SI HALALI MAANA LIMETOLEWA NA MTU ASIYE HALALI.
 
Back
Top Bottom