Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Slave MBONA MANENO YAKO MIE HUKU TAABANI!!!!!!!!Slave we mbona yakwako sijaiona!!!!![/QUOTE Heaven on earth
ujue wanja wako unaniweka majaribuni, shauri yako
Erickb52 mimi babe wangu ni
figganigga naomba utuverify.......
Babe wangu figganigga naomba utambue kuwa
nakupenda saaaaana!!!!!!!
Nimekuonya lakini halafu unaitwa kuna mtu kafuata mume wake
vigelegele tafadhali!! lululululululululululuuuuuuuuuuu
Lady doctor hili jibu linatuhusu na sie jinsia ke kuwa na husbands wawili na zaidi kwa wakati mmoja?
Siijui mie
Vin Diesel jamani.mbona wanipa mtihani mtoto wa mwanaume mwenzioUnanikana sio?
Slave MBONA MANENO YAKO MIE HUKU TAABANI!!!!!!!!
We we weeee....maneno haya wayatumia kwa kila mtu eeeeh:kev:
Vin Diesel jamani.mbona wanipa mtihani mtoto wa mwanaume mwenzio
Wewe una kesi na mie....kuna dalili za vita
DEMBA wepiga tu vigele gele acjia na vya siku faili likipitishwavigelegele tafadhali!! lululululululululululuuuuuuuuuuu
pole dia ila uliyataka mwenyewe!
hapana my wii ni katika kuongeza knowledge ya kufahamu mambo mbalimbali. kakako ni mwisho wa reli.Unataka kumsaliti kaka?