Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Kesi gani tena.......mbona wewe Lady doctor alivvyokuja kukutibu
na kukupatia dozi wakati we uko hoi taabani sikuwa na neno!!!!!!
Vin Diesel maneno ya Slave yako tofauti sana we hujawahi kuniambia hivo hata siku moja
huyu Vin Diesel anajidai ana wivu sana
Turekebishe basi mama watoto.....
The secretary ngasukuru sana....Achana naye kajiunga kwa ajili ya kuchafua wenzie atajiona zoba
Sijidai...ndio ukweli huo....
huyu Vin Diesel anajidai ana wivu sana
mwenye wivu, ajinyonge!!
Naomba unioneshe hiyo tofauti.... Slave niliwahi kumuachia mke huyu,muulize kampeleka wapi...
aende huko.......ye kuwapanga sawa mie kuwapnga vibaya kha
unaonaje na mie ukimwachia.......
Simuelewi ujue.
Kweli uzee unamjia vibaya, si bure.
Au pengine couple zimemuelemea
Vin Diesel kwani we hujawahi kunidanganyaAlokudanganya kaniweza.....:shock:
Hata kwa tindikali sikuachii.....:yell::yell::yell:
Vin Diesel kwani we hujawahi kunidanganya