Couples Verification!

Couples Verification!

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,534
Reaction score
11,449
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti
 
Ahsante mhe. mwenyekiti kwa kutambua kapo zetu. nina swali dogo la ziada eti tunaruhusiwa kuwa na smolu hausi?
Hahahaaa kama mtakubaliana na wenza wako wote sie hatuna tatizo nanyinyi.
Copy kwa Lady doctor (Kiwowowo)
 
Last edited by a moderator:
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on eath C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy Mungi sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Kwenye Red unachanganya. hapo juu ulianza vizuri, ukaharibu hapa chini.
Afu wataje wake zako wote....
 
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy Mungi sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Kuna harufu ya mlunguraaaaaaaaaaa
 
hivi singnature yako inauhusiano na mada tajwa hapo juu ???
 
Back
Top Bottom