mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
mwisho miaka mingapi kuadoptiwa humu?
uadoptiwe kwani una miaka ngapi? hutaki mwenza weweya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uadoptiwe kwani una miaka ngapi? hutaki mwenza weweya?
ehhh we nawe huna unapokosekana!!mbona unakosea jina la kichunda wangu....anaitwa measkron
ok acha nizitizame fursa najua wewe ni mtani wangu hvyo tutaendana Mrembo by Nature a ni mcheki mwallu
Kumbe mie kajinias kadogo.
Naona Vin Diesel anawarusha roho...mtaalamu huyo wa kuteka nyoyo za watu, akishajua umempa moyo wote, huyoooooo anasepa mazima.
wii ata mie aisee naona shemejio Arushaone alikuwa anaangalia mpira now amekuja kwa bed ngoja tuikemee baridi.
Usiku mwema wii, KOKUTONA na my Vin Diesel
we ni jiniasi aisee
KOKUTONA Ngastuka hanipati mie.........
Na mie namuona babe figganigga hapa na leo nilimtengenezea
supu ya pweza......mechi si ya kitoto leo
KOKUTONA we hulali!!!!! Vin Diesel unalala saa ngapi!!!!! ladydoctor sala kabla ya chakula cha usiku ni muhim
GOOD NIGHT
Inakuwaje unaniuliza nalala saa ngapi kwenye public wakati tunakaa nyumba moja.....
mimi49 uliona picha za fumanizi la jana.......ehhh we nawe huna unapokosekana!!
ehhh we nawe huna unapokosekana!!
Morning mpenzi wangu Vin Diesel...........
Nipe update za fumanizi ulifanikiwa kupata picha
hahahaaa.... Wii we acha tu, ninakujua vibaya mnoo! Ile remote ya ubongo wako si ninayo mie tena ngoja niimuvuzishe kwa my kaka figganigga
nyumba ndogo si tunayo mpenzi tena tumeweka na mpangaji, unataka tujenge zingine????