Mungu wangu!Una tabia mbaya sana my wii.Na usinisemeshe kabisaaaaaaa
Ambiele wewe unaye?Jipange
Naomba na mimi nijue kosa lako?Mungu wangu!
Yani hata sijui nisemeje jamani. Kama ni adhabu nipe tu niitumikie[emoji27]
Acha tu.. Ngoja wifi yangu anisulubishe mwenyewe[emoji17]Naomba na mimi nijue kosa lako?
Sky hawa watu huwa wananionea saana...lengo lao waniharibie baiolojia ya mwili wangu tu.Afadhali umekuja kuona mashtaka yako.
Mimi kapuku brother... nipo zangu hapa matejo nakula mataptap tuYani ndugu yangu Daby pamoja na u hendsome na pesa zako nyingi ila CV limeshaingia matope .
Ha ha ah yani wadada wote at last wameshaelewa japo ni too late umeshawapiga wengi ila at last wameelewa somo.
Bora wakukimbie tu sa hivi wasije wakatuulia ndugu yetu.
Seriously? I cant believe u r incensed. Now let me behave you and the bold are for real and the best couple in jf.
Vipi?[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276]
Aaaa hamn kituVipi?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji6] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kunikojelea na kunipandia pandia ndio fair?
Hater mkubwa wewe...Ha ha ha, acha wivu mkuu.
Mwaga sifa, mwaga sifa, usipomwaga sifa ni hater!
Hapana Sina nimeweka wazi Hilo mwanzo kabisaAmbiele wewe unaye?
Jina langu bayaaaaa sipati partner.Aaaa hamn kitu