Couples za JamiiForums

Couples za JamiiForums

Mpka sasa hv bado nmetoka kapaa duuh wacha nibaki na hela zangu khaaaaa na nyie bakin na couples zenu
 
Yani ndugu yangu Daby pamoja na u hendsome na pesa zako nyingi ila CV limeshaingia matope .
Ha ha ah yani wadada wote at last wameshaelewa japo ni too late umeshawapiga wengi ila at last wameelewa somo.

Bora wakukimbie tu sa hivi wasije wakatuulia ndugu yetu.
Mimi kapuku brother... nipo zangu hapa matejo nakula mataptap tu
 
Sitaki tena mitongozo ya JF, kuna niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
michelin_logo_23691.gif
 
kunikojelea na kunipandia pandia ndio fair?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji6] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yani unataja maneno mazima mazima Duuuuuuhhhh

Ayo mbona mambo ya kawaida Katika mahusiano Kama vp na wew mpandie
 
Back
Top Bottom