Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Vutangi vedengana thanaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ikio Ndhoki Uthangi mi Nifuma Huko
Neri. ShuveeUgweno
Nawe ni mwathuuNeri. Shuvee
Hapana mkuu mimi simo hata yeye ana amini hivyoUnamkana hadharani....
Unasema kweli ?Ndugu yako hasafishikiii
Ilo Neno Vedengana Sana Juz juz hapa Nimepata kulisikia nw umelisema Nimecheka sanaVutangi vedengana thanaaaaa
Asante wifi...Mimi ni dada mkubwa usiwe na hofu.
NdorweUgweno
Unalalamika nini si ulonikataa..[emoji125] [emoji125]Sijatajwa
Pole bhana sio wote wapoa hivyo hapa wote ni marafiki huyo atakua kilazaSitaki tena mitongozo ya JF, niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
Walau babu anawatokea kwako naonaga wakija tu wenyeye et hizi sifa. Ni za kweli?Mkuu wa kitengo kaniachia mikoba..
Ila hawa utawaweza huwa wananitaja kwenye sifa mbaya mbaya tu nzuri mnatajwa nyie.
Bora mkuu nimepitia uzi mzima ili kutafuta ushahidi wapi My PAPRIKA huwa anachelwa kurudi nyumbani bahati yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuwa mtakaji, usipohitaji hukosi sababu.Pole bhana sio wote wapoa hivyo hapa wote ni marafiki huyo atakua kilaza
Duuuuh hatari hii.Sitaki tena mitongozo ya JF, niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa ninge andamana.Sitaki tena mitongozo ya JF, niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
Nimemshukuru kwa kuwa muwazi inawezekana mafuta yalizidi na nilianza zoezi la nguvu tangia hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa ninge andamana.
Mbn huku unawanawake lkn yeye hajajali hilo ooooh oky km yy nishangazi ni kwaupande wako...mm namtambua km bb yangu original hao wengine mmmmh [emoji124] [emoji124] nitarudi kumaliziaaaa*********au ngoja nimalize KBSBibi yako anasimama na kila mwanaume bora awe dada tu... babu mimi ndiyo mwanamikakati wa ukoo kuanzia leo yule sio bibi yako ni shangazi. Over.