Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Huyo Daby Ni Mali ya umma.....
Siku ukikosea ukijitangaza unaachwa!🙂🙂🙂Hizo sinema tu....wenye wapenzi wetu humu hatuwezi kujitangaza!
[emoji24] [emoji24] [emoji24]daby ni wa kila mwanamke
Jamani honeyyy unapita wenda api tena uko ,basi ngoja nkufate ukouko staki achwa nyuma mie[emoji124][emoji125]Napita kusalimia tu[emoji122][emoji122]
Niachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...Siku ukikosea ukijitangaza unaachwa!🙂🙂🙂
Nimesema sampuli sijasema yeye. LolKama lazima awe Daby basi acha ha ha haaa
Na mlivo natabia ya kupenda anapo penda mwenzenu akitaka atakukula tu
Bado monitor nakufuatilia,nitakukamata tu!🙂🙂🙂Daby akipigwa ban ninahama nchi.
Mpaka uwape makavu wanakuja wenyewe huko au sijaelewa?Niachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...
Haya unayosoma hapa ni jokes tu, yale ya kumoyo kabisa hayawekwi hapa.Bado monitor nakufuatilia,nitakukamata tu!🙂🙂🙂
Dada yangu wa hiari nakuona!nakuona!!🙂Manga upoo, miss wewe mnooo
Shunie na Husna walikuwa wanakuulizia... Umewaona???
Nimepata taarifa hapa kuwa wewe ni kinara wa kugundua na kutabiria watu couples,hebu nitabirie mimi vile!🙂🙂🙂Niachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya unayosoma hapa ni jokes tu, yale ya kumoyo kabisa hayawekwi hapa.
Sina maneno matamu wanayopenda kusikia.Mpaka uwape makavu wanakuja wenyewe huko au sijaelewa?
Nilitaka kumwambia mtoa mada awasiliane na wewe umpe list....ila natabiri couple mya ni wewe na Miss NatafutaNimepata taarifa hapa kuwa wewe ni kinara wa kugundua na kutabiria watu couples,hebu nitabirie mimi vile!🙂🙂🙂
Nimekuelewa sana hapaSina maneno matamu wanayopenda kusikia.