Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Jaribu kuwatafuta bhanaMii zaidi ya mnoo uko powa wewe?
Sijawaona bado labda unipeleke walipo
Mie Sijambo jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuwatafuta bhanaMii zaidi ya mnoo uko powa wewe?
Sijawaona bado labda unipeleke walipo
Unakula ubuyuu tuuDada yangu wa hiari nakuona!nakuona!!🙂
Mmm kuna sehem mlikua nyie mbona umekuja naeJaribu kuwatafuta bhana
Mie Sijambo jamani
Eti sampuli ugonjwa wa moyo[emoji23][emoji23][emoji23]...wewe sampuli gani[emoji28][emoji28][emoji28]Basi kama inaikana huezi kua mpweke mana sampuli tulivu na wapole ni wengi kuliko sampuli ugonjwa wa moyo
HahahaMmm kuna sehem mlikua nyie mbona umekuja nae
Ngoja nikuite alipoHahaha
Hamna bhana
Teh husna muba aliondoka mwenyewe.....alibeba mizigo.umekubalije na wewe kuchukuliwa? hebu taratibu bhana yajenge
PoaNgoja nikuite alipo
Nimeshakuita angalia not tu
Mbona simuoniNimeshakuita angalia not tu
Hamna uzi nime kutag kwani ?Mbona simuoni
Kuwekana nnHivi mnawekana kweli au ndo chitchat..!?
Mi na wangu tulikuwa tunawekana kweliHivi mnawekana kweli au ndo chitchat..!?
Naomba niwe mrithi wa kakaMi na wangu tulikuwa tunawekana kweli
mhhhh muache shemeji yangu kumsema sema kila siku.
nani dear wako? niondokee na tabia zako nilishakuambiaAu nimpindue kwa nguvu dear?[emoji1][emoji1][emoji1]
Neno dear lisikuzingue,hata baba yangu nikimwandikia barua huwa naandika dear father,ni neno ambalo huwa nalitumia kwa watu ninaowapenda kama vile ndugu,jamaa na marafiki!![emoji1][emoji1][emoji1]nani dear wako? niondokee na tabia zako nilishakuambia