Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji57] [emoji57]Naomba niwe mrithi wa kaka
Wanasemaga Hainaga Ushemeji[emoji57] [emoji57]
Nami pia najua ila wewe sio dear wangu. Kikikikikkkk[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]Neno dear lisikuzingue,hata baba yangu nikimwandikia barua huwa naandika dear father,ni neno ambalo huwa nalitumia kwa watu ninaowapenda kama vile ndugu,jamaa na marafiki!![emoji1][emoji1][emoji1]
Nilikua nahisi njaa ila kusoma hapa nimeahiba!!!!Wapi my PAPRIKA njoo utangazie umma kupunguza inzi wanaotufuata nyuma..[emoji23] [emoji23] [emoji23] ! I was going through the thread to see&prove any virus which may have been attempting to corrupt our love files but nothing obtained.
Ukuje huku my heart driver, my papcake, my sweetpotato and my dream engineer uko wapi au umetekwa jana???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] because i don't see you in my cctv camera.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji329] [emoji328] [emoji327] [emoji342]
Unanibinulia mdomo tena!?... Mbna unazidi kunivutia na hayo mapozi yako.[emoji57] [emoji57]
Nice....To all JF couples nawapenda nanyi pendaneni miaka miaView attachment 500628
Miti..Kuwekana nn
Najua una wasiwasi kuwa STUNTER atakuja kuona tukiwa tunaitana dear hapa ila usiwe na wasiwasi hawezi kufika huku ng'oo!![emoji1][emoji1][emoji1]Nami pia najua ila wewe sio dear wangu. Kikikikikkkk[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Tupangie pambano basi na mume mwenzangu tuone nani atapinga long trip siku hiyo.Nilikua nahisi njaa ila kusoma hapa nimeahiba!!!!
Nimekuja mpenzi wangu.
Nakupenda haswaa
Ila mimi closed relationship siitaki!!!
Kizuri gawana na wenzako
Wadau Uzi Huu Ni Mahususi kwa kujua Couples mbali mbali za Jf
Lengo Ni Kuziheshim Izo Couples Na kuzidumisha Ili Zifike Mbali Zaid
Kama hauna Kuwa mpole kama mim
Chache Ninazo Zifaham
The Bold and Nifah
Smart and Mahondra
...........
............
...........
Mwenzako wala haitaji mapambano!!!Tupangie pambano basi na mume mwenzangu tuone nani atapinga long trip siku hiyo.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki bhana tabiaristNajua una wasiwasi kuwa STUNTER atakuja kuona tukiwa tunaitana dear ila usiwe na wasiwasi hawezi kufika huku ng'oo!![emoji1][emoji1][emoji1]
tabiarist?![emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki bhana tabiarist
Bora uende tu usije nifundisha tabia mbayatabiarist?![emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji115]Kwa kunitoa nduki hujambo!![emoji30] [emoji30] [emoji30]tabiarist?![emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora uende tu usije nifundisha tabia mbaya