Haha... sijui tutamwaminije maana hata yeye inawezekana ameshajitaja huko nyuma.Si ajabu unajisema mwenyewe....
Nikutafutie mzee mwenziokweli nimezeeka humu naona wageni tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Neno dear lisikuzingue,hata baba yangu nikimwandikia barua huwa naandika dear father,ni neno ambalo huwa nalitumia kwa watu ninaowapenda kama vile ndugu,jamaa na marafiki!![emoji1][emoji1][emoji1]
Thitakiiiii.. EeWanasemaga Hainaga Ushemeji
NtakuchapaaaUnanibinulia mdomo tena!?... Mbna unazidi kunivutia na hayo mapozi yako.
NB.. Hainaga Ushemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miti..
Weee stun ana machale ya kiuno yule wee ngoja ufumwe tuNajua una wasiwasi kuwa STUNTER atakuja kuona tukiwa tunaitana dear hapa ila usiwe na wasiwasi hawezi kufika huku ng'oo!![emoji1][emoji1][emoji1]
Hicho kibamia chako kichanjie na mpapai kiongezeke afu ndio utaonewa huruma sasaJaman hakuna hata she aliekosea kunitaja duuh kwel nmeamin sasa wenye vibamia tumeanza kutupia nguo nje [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nioneen hurumaaaa heeeeeeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuuuumbeeee!!!!Lee empire vs Shunie
Transcend vs Sakayo
Ndio hivyo[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuuuumbeeee!!!!
Wadau Uzi Huu Ni Mahususi kwa kujua Couples mbali mbali za Jf
Lengo Ni Kuziheshim Izo Couples Na kuzidumisha Ili Zifike Mbali Zaid
Kama hauna Kuwa mpole kama mim
Chache Ninazo Zifaham
The Bold and Nifah
Smart and Mahondra
...........
............
...........
Mimi hapaMkuu sina atii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee stun ana machale ya kiuno yule wee ngoja ufumwe tu
Mmmh.. Nani kasema kipigo cha mpnz kinauma!? We nichape tuNtakuchapaaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wadau Uzi Huu Ni Mahususi kwa kujua Couples mbali mbali za Jf
Lengo Ni Kuziheshim Izo Couples Na kuzidumisha Ili Zifike Mbali Zaid
Kama hauna Kuwa mpole kama mim
Chache Ninazo Zifaham
The Bold and Nifah
Smart and Mahondra
...........
............
...........
Haya mm na wew sasa tatizo jina lko nawe baya mnoo nikitaka kukuita kwa kifupi nitakuitaje???Jaman hakuna hata she aliekosea kunitaja duuh kwel nmeamin sasa wenye vibamia tumeanza kutupia nguo nje [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nioneen hurumaaaa heeeeeeee