Couples za JamiiForums

Couples za JamiiForums

Neno dear lisikuzingue,hata baba yangu nikimwandikia barua huwa naandika dear father,ni neno ambalo huwa nalitumia kwa watu ninaowapenda kama vile ndugu,jamaa na marafiki!![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman hakuna hata she aliekosea kunitaja duuh kwel nmeamin sasa wenye vibamia tumeanza kutupia nguo nje [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nioneen hurumaaaa heeeeeeee
Hicho kibamia chako kichanjie na mpapai kiongezeke afu ndio utaonewa huruma sasa
 
Wadau Uzi Huu Ni Mahususi kwa kujua Couples mbali mbali za Jf

Lengo Ni Kuziheshim Izo Couples Na kuzidumisha Ili Zifike Mbali Zaid

Kama hauna Kuwa mpole kama mim

Chache Ninazo Zifaham

The Bold and Nifah

Smart and Mahondra

...........

............

...........
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Cc: mahondaw
 
Jaman hakuna hata she aliekosea kunitaja duuh kwel nmeamin sasa wenye vibamia tumeanza kutupia nguo nje [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nioneen hurumaaaa heeeeeeee
Haya mm na wew sasa tatizo jina lko nawe baya mnoo nikitaka kukuita kwa kifupi nitakuitaje???
 
Back
Top Bottom