Couples zisizoendana

kintonono

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
96
Reaction score
67
Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali mfano mwonekano.

Karibuni.
 
Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke

Nimeshayajua yale mamtu mawili

Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa

Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…