Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh...Niliisikia...Yule Dada na jamaa wanaendana..Wote hawapendi ujingaMimi sipo hairy kama Tia (you listened to the audio?), I'm missing you too pops
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh...Niliisikia...Yule Dada na jamaa wanaendana..Wote hawapendi ujingaMimi sipo hairy kama Tia (you listened to the audio?), I'm missing you too pops
Haha walinichekesha sana. Eti good girls must shave and must shave clean. Teh shurti kujipanga kabla ya kwenda kuhakiki mali.....Teh teh...Niliisikia...Yule Dada na jamaa wanaendana..Wote hawapendi ujinga
Kombaumbau ndo mpango kwasasa ww,sio vitambiWe nae nani atamani mwanaume kimbaumbau ,usione watu wamenyamaza tunakula kimya kimyaa tena wa maqna haswaa
Teh teh...Wakenya wana ujinga mwingi sana aisee...Ila yule kaka naye anavisa..Ndo nn kuyavaa majukumu yasiyomuhusu...Haha walinichekesha sana. Eti good girls must shave and must shave clean. Teh shurti kujipanga kabla ya kwenda kuhakiki mali.....
umeona eeh yaani hatariYani kuna mademu humu wanataman yule msichana aachike ili wachukue wao nafasi... Mademu acheni kumuonea wivu mwenzenu
Kama mnakerwa na hiyo couple vaen miwan ya mbao alaa..
Hahaha eti actions speak louderTeh teh...Wakenya wana ujinga mwingi sana aisee...Ila yule kaka naye anavisa..Ndo nn kuyavaa majukumu yasiyomuhusu...
UchocheziMakomeo & Janeth
Baadhi ya yaliyoandikwa humu yanashangaza na kusikitisha sana. Acha watu humu waliofall in love waamue kutoonyesha mapenzi yao humu. Watu wana chuki za kutisha kwa wapendanao duh!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mahusiano bila sex ni undugu
DadaUtansalimia ujumbe ni kwamba mii bado mnyonge wake
Sawa Manga
Kho kho khoNipo tuu nisie jua kusema na msemaji pia sipati
Hivi nanihii ndo kakatazwa sikuhizi nimeficha kwa maana usifumbue jibu tu.
Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali mfano mwonekano.
Karibuni.
Itakuwa yule jamaa anapenda kumtagi kila post, kila akipost utaona cc. cc. FulaniKuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
HahahaManga jamaan miss u ujue nani kakuficha lakini
Dada