Couples zisizoendana

Teh teh...Niliisikia...Yule Dada na jamaa wanaendana..Wote hawapendi ujinga
Haha walinichekesha sana. Eti good girls must shave and must shave clean. Teh shurti kujipanga kabla ya kwenda kuhakiki mali.....
 
Baadhi ya yaliyoandikwa humu yanashangaza na kusikitisha sana. Acha watu humu waliofall in love waamue kutoonyesha mapenzi yao humu. Watu wana chuki za kutisha kwa wapendanao duh!

thank uu
 
Mkude simba na Zamaradi Mketema

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali mfano mwonekano.

Karibuni.

Wowote walioowana week hii.... au within one month, baada ya hapo ni problems tu
 
Kuna hili janga pia: Wema na mwanamme yeyote wa maana, Mze Mengi na jacky, Ruge na Zamaradi, Ruge na mwanamke yeyote anayejitambua, Diamond na Zari, Diamond na mwanamke yeyote mzuri.
 
Haaaaa Haa....comments za humu hapana asee..


Cc. Mahondaw

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kila jambo na wakati wake jamani tesa kwa wakati wako babueeeeeee [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Ofcourse kuachana kupo if things go wrong hilo halina ubishi
But who are you to judge me!!???

Only God


Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…