Couples zisizoendana

Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali mfano mwonekano.

Karibuni.
Huwezi kujua kama couples zinaendana au haziendani mpaka ushiriki nazo threesome uone mapigo yanaendaje.

Sasa mnaosema couples haziendani mshashiriki nazo "manage a trois" ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…