Kumbe mr T ni kufurahisha jukwaaNiambiee
Mwache apambane na mwanaume wakeAmeshakuja utapambana nae mwenyewe
Nakuona nakuonaaAcha sakayo apambane na mahusiano yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliyepewa sio sawa au umependelewaa ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada angu ananichekesha sanaNitag replay yake
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwache apambane na mwanaume wake
Yale yalee nayaonaa
Hivi huyu ametumwa eeehhMmh nimecheka ulivyoongea jaman naanzaje kumcheka dada angu mie
Tutaonana tuuNakuona nakuonaa
Mbona unamcheka lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefurahi nini mie kupewa mume wa kungwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo tena dadaHivi huyu ametumwa eeehh
Unataka kungwi aniue sio, Sitaki ugomvi naomba mtu wanguuu
Baba D ananifurahisha sana acha nicheke tuMbona unamcheka lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hivi huyu ametumwa eeehh
Ndo unajiteteaa hivo ??Umefurahi nini mie kupewa mume wa kungwi
HapanaKumbe una wawili
Nani sasaUnataka kungwi aniue sio, Sitaki ugomvi naomba mtu wanguuu
TranscendYupiii mkuu
Dada kinachonichekesha ujue imekuaje muosha rungu akuandike we na kaka BAK yaan katumia vigezo gani vilimshawishi kuwafanya nyie couple ujue nawaza vingi tu mimiUmefurahi nini mie kupewa mume wa kungwi