Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

nimelipiga promo duka kabisa sitaki shida ya kufatwa pm niwaambie nimeinunua wapi...... halafu mbona uzi mwingine huu

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua huwezi amini Bali hawa ni watu wanaopendana sana hapa jf kama wapenzi
Kiasi kwamba wapo tayari kuanzisha uchumba au hata ndoa any time
Usishangaa ukisikia siku moja card za wedding zinasambazwa we tega tu sikio lako!!

Kwa kuwa kumpenda mtu iko moyoni hawajataka kuweka wazi ila
Mda ukuta! Ukifka watafunguka tu

Wewe utajisikiaje kuhudhuria harusi zao mathalani na ipi couple ungependa uwe mwanakamati kuu!!

Mshana Jr and ruby
Smart and mzigua90
Sakayo and BAK
Saint ivuga and Generove
Miss chagga and B40
Faiza fox and padri mcharo
Ontario and Demi
Gudume and mbitiyaza
Mondray and miss natafuta
Hence mtanashat and Cajojo
Evelyn salt and kikulachochako
Asprin and khantwe
Eskyt and shekidede
Transcend and inna
Muosha rungu and money talk
Lemutuz and cocochalate
Mahondaw and The bold
Unadhani watapendezea au vipi
Ustarabu uzingatiwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nini sasaaa hiyoo, em nirudishie mtu wangu miee
 
Back
Top Bottom