mbaga45
Member
- Feb 9, 2015
- 70
- 22
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Kuthaminiwa. Teh teh teh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Kuthaminiwa. Teh teh teh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hebu niache muosha rungu. Sina pair humu jamaani ndio mana hujawahi ona namtaja kumpenda mtu humu jf.. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nini tena?
Aaah! mficha uchi hazai ujue emmyta!Hebu niache muosha rungu. Sina pair humu jamaani ndio mana hujawahi ona namtaja kumpenda mtu humu jf.. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaaa. Nimemuona shemela.Huyu hapa kaziniView attachment 559459
NaniKuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
MmeupozaMods rudisheni Uzi wangu mbona mmeuunganisha na mwingine mmeupotoza bwana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiona naficha jua sina.
UchocheziKwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskazini
[emoji108] [emoji108] [emoji108]Mapenzi ni siri kaka. [emoji2] [emoji2]. Ukitangaza ndio mwanzo wa kukaribisha wezi.