Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Naandika pembeniiEeeenh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naandika pembeniiEeeenh
Nafanyaje baba d kashaamua kuwa nao wawiliUchocheziiiii
Sikuteteiii walaaaaiiii babangu mwanaume naapaaaKatika kitengo chako
Hapana nimeuliza tu
Kwenye nini labda, BAK ananivutia kwa michango yake na si uwazavyo wewe..... Mie ni wa Transcend daimaSakayo ana majibu maana alisema yeye BAK anamvutia sema anaogopa foleni!
Sent using Jamii Forums mobile app
AndikaNaandika pembenii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuteteiii walaaaaiiii babangu mwanaume naapaaa
WoyoooLeo utashanga sana ...ndo dadako mwenye roho ya babake
Unasemaje. ..
Mwanzo Wa hesabu 1!Kwenye nini labda, BAK ananivutia kwa michango yake na si uwazavyo wewe..... Mie ni wa Transcend daima
We halafu jina lake haliandikwi hivyo..
Na babu jeeeKwenye nini labda, BAK ananivutia kwa michango yake na si uwazavyo wewe..... Mie ni wa Transcend daima
Hivi muosha rungu ngoja nikuulize hao watu uliowaandika ulitumia vigezo gani naona kama wengine umepachika tu hapo kama geni na ivuga mmh ivuga anae inna wake jaman
Na hiyo foleni anayosemea muosha rungu ilikua ya nini au ndio foleni za michango ya BAKKwenye nini labda, BAK ananivutia kwa michango yake na si uwazavyo wewe..... Mie ni wa Transcend daima
Shangaa na wewe, kwamba huruhusiwi kutoa mtazamo wako kisa wambea... Sijafunzwa woga mie huwa nasema ninachoaminiKwahiyo hiko ndio kikawa kigezo cha kuwaandika
mapenzi na inna ni fake real ni gene!Hivi muosha rungu ngoja nikuulize hao watu uliowaandika ulitumia vigezo gani naona kama wengine umepachika tu hapo kama geni na ivuga mmh ivuga anae inna wake jaman
[emoji23][emoji23][emoji23]We halafu jina lake haliandikwi hivyo..