Wa pili ungekuwa wewe na popcorn zako nahisi jana mchana usingekula asee!Kwa nini uogope maswali
AiseeeeWa pili ungekuwa wewe na popcorn zako nahisi jana mchana usingekula asee!
Siogopi maswali bali sipendi kabisa maswali ya uchochezi! Am muhenga you know Debe tupu halikosi kelele Bwaha Bwaha Bwaha mahondaw na bold weuweeeee! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ila thanks God I and Mr wangu Smart911 tushakua masupastaa alelelelelelelelelele! Don't you see!! every front page hatukosiiiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Mahondaw wa Smart911
Nilitaka awe saint ivuga!Bora umeniopolea hata huyo bold anajielewa Asee mbona ningebadili I'd..
Kuna wengine hasaraaaaaaa khakha mahondaw na bold yooooooooooo[emoji122]
Mahondaw wa Smart911
Hapana dada endeleeni tu kuchekeanaTupo kawaida bhanaa, au unataka nimnunie
Kwema sana siunajua chini ya uangalizi wa Smart911 the great hakuna matata.. Ni kujinenepea tu mpaka nimeanza diet miyeeee. aliyemuopoa ana bahati sanaaaaa najua hata ye analijuaaa na kulifurahia hili Tehtehteh
Bold pumzika kuandika novel njoo huku Mara mojaWa pili ungekuwa wewe na popcorn zako nahisi jana mchana usingekula asee!
Siogopi maswali bali sipendi kabisa maswali ya uchochezi! Am muhenga you know Debe tupu halikosi kelele Bwaha Bwaha Bwaha mahondaw na bold weuweeeee! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ila thanks God I and Mr wangu Smart911 tushakua masupastaa alelelelelelelelelele! Don't you see!! every front page hatukosiiiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Mahondaw wa Smart911
Ndo umchunge zero distance umezidi rafiki hutaki hata abadili mboga jameni!!!Kwema sana siunajua chini ya uangalizi wa Smart911 the great hakuna matata.. Ni kujinenepea tu mpaka nimeanza diet miyeeee. aliyemuopoa ana bahati sanaaaaa najua hata ye analijuaaa na kulifurahia hili Tehtehteh
Kuna watu wameambulia hasaraaaaaaa lol!
Hivi hii ni chitchat eeeeeh
Sakayo naomba unikumbushe nipo wapi tasavali [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mahondaw wa Smart911
Hahaha unataka tufuatilie ya wanyama!!Kufatilia maisha ya watu ndio kitu mnachojua sio
Shame on you....
post using my macbook air using jamiiforums app
Unamuogopa inna au loreto!
Ndo umchunge zero distance umezidi rafiki hutaki hata abadili mboga jameni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika ushampa vyote;!!Heheheeeeee sitaki kusema mengi ujue Vyenye nampa anatosheka na kuridhika kabisaa ndomana hataki kutoka.. Hivi unanijua wewe![emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hapa ni fulstop kajisemea kopa Tihitihitihtihihihiiii [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Maho na bold huhuuuuu
Mahondaw wa Smart911
Naona umeanza interview nilokimbia si ndio rafiki!!??
Ujue we una uchokozi sana...Najua huwezi amini Bali hawa ni watu wanaopendana sana hapa jf kama wapenzi
Kiasi kwamba wapo tayari kuanzisha uchumba au hata ndoa any time
Usishangaa ukisikia siku moja card za wedding zinasambazwa we tega tu sikio lako!!
Kwa kuwa kumpenda mtu iko moyoni hawajataka kuweka wazi ila
Mda ukuta! Ukifka watafunguka tu
Wewe utajisikiaje kuhudhuria harusi zao mathalani na ipi couple ungependa uwe mwanakamati kuu!!
Mshana Jr and ruby
Smart and mzigua90
Sakayo and BAK
Saint ivuga and Generove
Miss chagga and B40
Faiza fox and padri mcharo
Ontario and Demi
Gudume and mbitiyaza
Mondray and miss natafuta
Hence mtanashat and Cajojo
Evelyn salt and kikulachochako
Asprin and khantwe
Eskyt and shekidede
Transcend and inna
Muosha rungu and money talk
Lemutuz and cocochalate
Mahondaw and The bold
Unadhani watapendezea au vipi
Ustarabu uzingatiwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app