Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Una uhakika ushampa vyote;!!
Ina maana hakuna ambacho hujampa alichonacho mwanamke mwenzio!

Sent using Jamii Forums mobile app
200% sure yani mpaka aslimia zako amenitunuku ki mahondaw chake hihihii [emoji15] [emoji15]. Nothing new kwa hao wengine sanasanaaaaa atamiss some things [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]


Hakuna vichangamsha mdomo!! Naona interview mubashara khakhaakhaa. Niache bana mi Sitaki uchokozi ujue. Sitaki maneno rafiki ntachapwa buree [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]



Mahondaw wa Smart911
 
Bold pumzika kuandika novel njoo huku Mara moja
Kuna ndege kanasa mtegoni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[QUOTE="muosha rungu, post: 22691381, member: 42899 Bold pumzika kuandika novel njoo huku Mara moja
Kuna ndege kanasa mtegoni!!

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]



Akhaa mwenzangu!! Bold katulia na Nifah wake hawana makelele. halafu wewe sio mwema kabisa nishakuona hii uzi hii sio ya kheri hii .


Mahondaw wa Smart911
 
Najua huwezi amini Bali hawa ni watu wanaopendana sana hapa jf kama wapenzi
Kiasi kwamba wapo tayari kuanzisha uchumba au hata ndoa any time
Usishangaa ukisikia siku moja card za wedding zinasambazwa we tega tu sikio lako!!

Kwa kuwa kumpenda mtu iko moyoni hawajataka kuweka wazi ila
Mda ukuta! Ukifka watafunguka tu

Wewe utajisikiaje kuhudhuria harusi zao mathalani na ipi couple ungependa uwe mwanakamati kuu!!

Mshana Jr and ruby
Smart and mzigua90
Sakayo and BAK
Saint ivuga and Generove
Miss chagga and B40
Faiza fox and padri mcharo
Ontario and Demi
Gudume and mbitiyaza
Mondray and miss natafuta
Hence mtanashat and Cajojo
Evelyn salt and kikulachochako
Asprin and khantwe
Eskyt and shekidede
Transcend and inna
Muosha rungu and money talk
Lemutuz and cocochalate
Mahondaw and The bold
Unadhani watapendezea au vipi
Ustarabu uzingatiwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu mi ndo umeamua kunipa cha wote haya bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom