Ni ninii lakini wa kwetuUjue we una uchokozi sana...
Kwan kuna nn hapa??Sijaelewa
Couple ya muosha rungu na msuuza rungu siikubali....[emoji23]
Wakwetu muosha rungu ananitafutia league na mtu naona.. sema mi mkubwa..Ni ninii lakini wa kwetu
200% sure yani mpaka aslimia zako amenitunuku ki mahondaw chake hihihii [emoji15] [emoji15]. Nothing new kwa hao wengine sanasanaaaaa atamiss some things [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Una uhakika ushampa vyote;!!
Ina maana hakuna ambacho hujampa alichonacho mwanamke mwenzio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona wakwetu kuwa mtu mzima raha sana mambo ya kiki unawaachia watoto tuWakwetu muosha rungu ananitafutia league na mtu naona.. sema mi mkubwa..
[HASHTAG]#SitoiKick[/HASHTAG]
Nimewaachia wakwetu.. mzima lakini??Nimeona wakwetu kuwa mtu mzima raha sana mambo ya kiki unawaachia watoto tu
Mzima mamy za weweNimewaachia wakwetu.. mzima lakini??
Mie mzima mpenzi...Mzima mamy za wewe
Nafurahi sana kusikia hivyo wakwetuMie mzima mpenzi...
[QUOTE="muosha rungu, post: 22691381, member: 42899 Bold pumzika kuandika novel njoo huku Mara mojaBold pumzika kuandika novel njoo huku Mara moja
Kuna ndege kanasa mtegoni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu mi ndo umeamua kunipa cha wote haya bwanaNajua huwezi amini Bali hawa ni watu wanaopendana sana hapa jf kama wapenzi
Kiasi kwamba wapo tayari kuanzisha uchumba au hata ndoa any time
Usishangaa ukisikia siku moja card za wedding zinasambazwa we tega tu sikio lako!!
Kwa kuwa kumpenda mtu iko moyoni hawajataka kuweka wazi ila
Mda ukuta! Ukifka watafunguka tu
Wewe utajisikiaje kuhudhuria harusi zao mathalani na ipi couple ungependa uwe mwanakamati kuu!!
Mshana Jr and ruby
Smart and mzigua90
Sakayo and BAK
Saint ivuga and Generove
Miss chagga and B40
Faiza fox and padri mcharo
Ontario and Demi
Gudume and mbitiyaza
Mondray and miss natafuta
Hence mtanashat and Cajojo
Evelyn salt and kikulachochako
Asprin and khantwe
Eskyt and shekidede
Transcend and inna
Muosha rungu and money talk
Lemutuz and cocochalate
Mahondaw and The bold
Unadhani watapendezea au vipi
Ustarabu uzingatiwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pair ipiNaona umeanza interview nilokimbia si ndio rafiki!!??
Acha hao Hata huyo nani wao somuogopi pia
Objection hio pair ya ngapi sijui na appeal kwa gharama zote [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sitaki uchocheziuuu muosha rungu. Niache nisome comments miyeeee
Mahondaw wa Smart911
Hahahah!! Ngoja akusikie mwenyeweCouple ya muosha rungu na msuuza rungu siikubali....[emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app
Ligi ipi ndondo cup!!Wakwetu muosha rungu ananitafutia league na mtu naona.. sema mi mkubwa..
[HASHTAG]#SitoiKick[/HASHTAG]