[QUOTE="muosha rungu, post: 22691381, member: 42899 Bold pumzika kuandika novel njoo huku Mara moja
Kuna ndege kanasa mtegoni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hujiamini bi rafiki!Akhaa mwenzangu!! Bold katulia na Nifah wake hawana makelele. halafu wewe sio mwema kabisa nishakuona hii uzi hii sio ya kheri hii .
Mahondaw wa Smart911
Ni Transcend sio transcent
You should choose one..!Hapana
Nina babu na T tuuu
Pamoja mkuu [emoji818][emoji818]
mpe pole huyo maana shunie na Lee empire walimuweka mtu kati!!!Pamoja mkuu [emoji818][emoji818]
Rafiki nakugawa asee tena bureeeeeee!
Rafiki nakugawa asee tena bureeeeeee!
Aisee!Umeiona couple hii? Huwezi kujua wamependana nini wenyewe.
Wapitie na hii link Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisaYani kuna mademu humu wanataman yule msichana aachike ili wachukue wao nafasi... Mademu acheni kumuonea wivu mwenzenu
Kama mnakerwa na hiyo couple vaen miwan ya mbao alaa..
Ndo ndo kapu eeh wakati mi macheza premier league..
Nilikupendelea bibiyeNdo ndo kapu eeh wakati mi macheza premier league..
Vichangamsha mdomo!!200% sure yani mpaka aslimia zako amenitunuku ki mahondaw chake hihihii [emoji15] [emoji15]. Nothing new kwa hao wengine sanasanaaaaa atamiss some things [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakuna vichangamsha mdomo!! Naona interview mubashara khakhaakhaa. Niache bana mi Sitaki uchokozi ujue. Sitaki maneno rafiki ntachapwa buree [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mahondaw wa Smart911