Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Lakini nika urimbukeni flan hivi😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini nika urimbukeni flan hivi😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa
Pit basi pm yetuNapita.
Yatupasa tujue tu maana hakuna namnaUchochezi huu
Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
Ndio JFYatupasa tujue tu maana hakuna namna
Uchochezi huoAhhahaha watajeee [emoji23][emoji23]
HaswaaNdio JF
Kwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskaziniNimeshayajua yale mamtu mawili
Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa
Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
Loooh huo sasa msuto wa mloo loohNisutwe na matarumbeta nipewe na keki ha ha ha nipakwe na icing sugar usoni
Nazani kuna id mpya sasa mana hata uhulu umepotea kabisa hata like hazipewi za kutosha hizi copleKwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskazini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskazini
Watu washagawachoka nadhani [emoji23]Nazani kuna id mpya sasa mana hata uhulu umepotea kabisa hata like hazipewi za kutosha hizi cople
Kama mimi yani kama huruma hiviWatu washagawachoka nadhani [emoji23]
Kwa hiyo hadi unawaonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mimi yani kama huruma hivi
Sana tu wewe unaona wana sapota gani?Kwa hiyo hadi unawaonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichekeshaa aisee niache nipike mieeSana tu wewe unaona wana sapota gani?
Afadhali upike mana umeniongelesha vitu siajai kusemaUnanichekeshaa aisee niache nipike miee
Hahaa watu mna maneno khaa!Nimeshayajua yale mamtu mawili
Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa
Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)