palesh pizoo
Senior Member
- Apr 14, 2018
- 131
- 223
Yeye ni wa kiume mkuu kwa hii course ni dhahiri hataipenda asante kwa maoni yako brother nitajaribu kulitendea kaziAende chuo akasomee ualimu wa kufundisha watoto wadogo wa chekechea
Yeye kwa sasa anafanya biashara ya Sit Covers za kuvesha kwenye mapikipiki anazishona yeye mwenyew na kuziuza ingawa bado soko lake ni la kawaida.Yeye anapenda nini?
Yeye kwa sasa anafanya biashara ya Sit Covers za kuvesha kwenye mapikipiki anazishona yeye mwenyew na kuziuza ingawa bado soko lake ni la kawaida.
Asante but hizo kava yeye ni fundi kabisa ndy maana nikauliza course yabkawaida kwa maana hata asipoajiriwa aweze kujisimamiaakiwa hata na ujuzi wa kibaishara nkNaona njia inayoendana naye n veta ilikipaji kisife....sasa hiyo kozi ya sit covers sijajua kama wanaitoa ila nimesema hivyo iliaweze kuendeleza zaidi kile anachokifanya/anachokijua
Kama ndivyo mwambie afanye mchakato wa kwenda VETA maana kwa fani yake hiyo itakuwa poa sana,huko atachagua kozi kutegemea na utashi wa ufundi wake......fomu za veta zinaanza kutoka mwezi ujaoAsante but hizo kava yeye ni fundi kabisa ndy maana nikauliza course yabkawaida kwa maana hata asipoajiriwa aweze kujisimamiaakiwa hata na ujuzi wa kibaishara nk