M Master nyaki New Member Joined Oct 19, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Oct 25, 2013 #1 naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi.
Chengest Member Joined Oct 4, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Oct 25, 2013 #2 funguka usaidiwe kama inawezekana kijana
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,149 Oct 26, 2013 #3 Master nyaki said: naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi. Click to expand... Lakini si ilikuwa miongoni mwa zile kozi 5 ulizochagua? Kama ndo hivyo kwa nini unapiga mayowe? Kama hukuijaza kabisa basi haya ni majanga! Hebu funguka watu wakupe mawazo!
Master nyaki said: naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi. Click to expand... Lakini si ilikuwa miongoni mwa zile kozi 5 ulizochagua? Kama ndo hivyo kwa nini unapiga mayowe? Kama hukuijaza kabisa basi haya ni majanga! Hebu funguka watu wakupe mawazo!
N Nsk Member Joined Aug 22, 2013 Posts 50 Reaction score 3 Oct 26, 2013 #4 Fata procedure za kuchange utafanikiwa ila uwe mvumilivu mana kuna kausumbufu kulingana na chuo ulichopangiwa.
Fata procedure za kuchange utafanikiwa ila uwe mvumilivu mana kuna kausumbufu kulingana na chuo ulichopangiwa.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Oct 26, 2013 #5 huyu mbona hawi muwazi,aseme apewe ushauri haraka iwezekanavyo :tinfoil3:
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Oct 27, 2013 #6 Master nyaki said: naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi. Click to expand... Chuo gani?
Master nyaki said: naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi. Click to expand... Chuo gani?
M mrsteey New Member Joined Sep 9, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Oct 27, 2013 #7 dah pole sana kijana gairi mwaka