Course niliyopangiwa siyo kabisa

Course niliyopangiwa siyo kabisa

Master nyaki

New Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
4
Reaction score
0
naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi.
 
naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi.

Lakini si ilikuwa miongoni mwa zile kozi 5 ulizochagua? Kama ndo hivyo kwa nini unapiga mayowe? Kama hukuijaza kabisa basi haya ni majanga! Hebu funguka watu wakupe mawazo!
 
Fata procedure za kuchange utafanikiwa ila uwe mvumilivu mana kuna kausumbufu kulingana na chuo ulichopangiwa.
 
huyu mbona hawi muwazi,aseme apewe ushauri haraka iwezekanavyo
:tinfoil3:
 
Back
Top Bottom