Course ya kusoma Chuo Kikuu

Course ya kusoma Chuo Kikuu

Double N

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
290
Reaction score
550
Wakuu habari.

Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar.

Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.

Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba.

Ushauri wenu unahitajika wakulungwa.

Nawasilisha.
 
B.A IN sociology
BA. In political science and Public Administration
Baed
BADS-Development Studies
 
Project planning and management Mipango
Hivi hii course pale udsm wanaitoa?
Nakumbuka nliombaga udom ila yenyewe ilikua ina jina refu kidg project planning & mgt .......(siikumbuki) ila nilikosa na hii kigezo chao ilikua ni geography nadhani.
 
Wakuu habari.

Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar.

Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.

Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba.

Ushauri wenu unahitajika wakulungwa.

Nawasilisha.
Ni ngumu Sana kumshauri.mtu Cha kusoma Tena level ya Chuo. Kwani hajui anavhotakaanachotaka
 
90% ya kozi zote kwenye TCU Guidebook Ni TAKATAKA KABISA.

Mimi nakushauri, pitia Ajiraportal Uchunguzi Ni kozi gani ajira zake zinatangazwa sana.

Siyo, unakurupuka kwenda kusoma kozi hata halipo kwenye MUUNDO WA UTUMISHI.
 
Back
Top Bottom