Jamaa Unajua Kuwaumbua[emoji1787]Usimsingizie mtu..muhusika ni wewe sasa sikiliza..
Kazana upate Law ukikosa Law pambana upate kozi yeyote inayo husiana na Marketing!
Naunga hojaProject planning and management Mipango
Usimsingizie mtu..muhusika ni wewe sasa sikiliza..
Kazana upate Law ukikosa Law pambana upate kozi yeyote inayo husiana na Marketing!
Msikalili ndgu wajumbe, sio mimi ukifuatilia nyuzi zangu kadhaa utajua sio mimi.Jamaa Unajua Kuwaumbua[emoji1787]
Hivi hii course pale udsm wanaitoa?Project planning and management Mipango
Asante mkuu ni course gani nyingine inayolewa hapo NIT kwa huyu wa Hkl?Mwambie akasome logistics and transport management pale NIT atakuja nishukuru
Kuna procurement and logistic pia iko poa ,Asante mkuu ni course gani nyingine inayolewa hapo NIT kwa huyu wa Hkl?
Project planning and management Mipango
Chuo gani mkuu?Course yangu hiyo
Ni ngumu Sana kumshauri.mtu Cha kusoma Tena level ya Chuo. Kwani hajui anavhotakaanachotakaWakuu habari.
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar.
Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.
Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba.
Ushauri wenu unahitajika wakulungwa.
Nawasilisha.
Kwani yeye alipochukua hiyo HKL.alitaka awe nani?Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.
Mipango HKL wanachukua hii Bachelor degree project planning and management kozi safi sanaChuo gani mkuu?