Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Sep 10, 2014 #1 UDSM wataanza kufundisha Kozi za lugha ya kichina mwaka wa masomo 2014/2015 ,,, cozi ni za option, unasoma hata kama unasoma cozi nyingine yeoyote. Muda ni asubuhi na jioni scholarship za masters zitatolewa kwa watakaofanya vizuri kwa maelezo zaidi www.udsm.ac.tz application form hii apa.
UDSM wataanza kufundisha Kozi za lugha ya kichina mwaka wa masomo 2014/2015 ,,, cozi ni za option, unasoma hata kama unasoma cozi nyingine yeoyote. Muda ni asubuhi na jioni scholarship za masters zitatolewa kwa watakaofanya vizuri kwa maelezo zaidi www.udsm.ac.tz application form hii apa.
F fadhili jumanne Member Joined Jun 23, 2014 Posts 17 Reaction score 6 Sep 10, 2014 #2 Nimekupata mkuu.