Course ya lugha ya kichina inatolewa na UDOM

Course ya lugha ya kichina inatolewa na UDOM

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
UDSM wataanza kufundisha Kozi za lugha ya kichina mwaka wa masomo 2014/2015 ,,, cozi ni za option, unasoma hata kama unasoma cozi nyingine yeoyote.

Muda ni asubuhi na jioni scholarship za masters zitatolewa kwa watakaofanya vizuri kwa maelezo zaidi www.udsm.ac.tz application form hii apa.
 
Back
Top Bottom