Course za aviation duniani kote ni aghali sana ndio maana ni nchi chache zimemudu kuwa na vyuo vya taaluma hiyo.
Kwasasahivi ukienda kusomea hiyo kozi Ulaya, America au Asia gharama ya mtu mmoja inakuwa si chini ya milioni Mia tatu!
Kama NIT wanaianzisha tueapongeze na kuiomba serikali iwaongezee nguvu kwakuwa wataalamu wa aviation tulio nao sasa ni wachache sana na wengi wao Wako kwenye age ya kuretire na serikali yetu haijasomesha wataalamu wa fani hiyo kwa muda mrefu.
Tumpongeze Dkt. Mganilwa mkuu wa Chuo kwa ubunifu huo.