Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wadau, habari za leo?
nimesikia kwamba chuo cha taifa cha usafirishaji kiko mbioni kuanzisha course ya usafirishaji wa anga ambayo ada yake inafikia TAS milioni mia moja!
wadau nimejiuliza sana kwanini hii course ina ada kubwa kiasi hiki?
na, je baada ya kugraduate, wahitimu wake wako vipi kwenye soko la ajira interms of market demand and salary payments?
tujadili pamoja tafadhali!