dolson masaki
Member
- Aug 12, 2011
- 38
- 3
wadau wa elimu naombeni mnisaidie katika hili vyuo vya ushirika kama vile moshi cooperative kinatoa course zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau wa elimu naombeni mnisaidie katika hili vyuo vya ushirika kama vile moshi cooperative kinatoa course zipi?
BA_Acounts n finance(BA-AF),BA-PSM(procurement).n.k
Tz na East Afica hakuna vyuo vya Ushirika. Kipo chuo kimoja tu Afrika ambacho ni Muccobs na kipo Moshi. Kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya cheti,Diploma na Degree na Masters.
Kwa kozi zinazohusiana na Mambo ya ushirika ni kama:
1.Microfinance Mgt
2. Diploma in Cooperative Mgt and Accountancy
3. Bachelor of Cooperative Mgt and Accountancy
Na zipo nyingi tu wewe pitia kwenye tovuti yao tu utapata www.muccobs.ac.tz
Na Muccobs haifundishi tu mambo ya ushirika ila inafundisha na mambo mengine ya Biashara na Ujasiriamali.