Hamza Mdoe
Member
- May 30, 2016
- 22
- 30
Naomba maelekezo Zaid,course ipi nzur na yenye FURSA badae nkmalza masomo hayo ya Masters2.8 mbona haina shida kabisa hiyo
Sasa kwakuwa unafanya kazi kada ya elimu si ndio unajua ni wapi unatakiwa ujiendeleze ili uwe bora zaidiNaomba maelekezo Zaid,course ipi nzur na yenye FURSA badae nkmalza masomo hayo ya Masters
Asante sana kwa pongezi kakaHongera kwa uamuzi. Hiyo GPA haina shida kabisa. Maswali yangu:
1. Malengo yako baada ya hiyo masters ni nini?
2. Unatamani kusoma ndani au nje ya nchi?
Okay mkuu Mwl. Mdoe, bora umeuliza kabla ya kufanya maamuzi.Asante sana kwa pongezi kaka
Malengo yang ni kutoka hapa nilpo kupatA nafas Zaid kwa zile kaz ambazo haziangalii GPA ya bachelor Bali zenye vgezo vya masters
Pia nataman nngesoma nje tatzo namna ya kupata scholarship zna ujuz huo
Sorry niltaman tu kusoma masters ya kada yangu hii hii sijahtaj kuhama career na kuhusu kusubil nafas ya uafisa elimu kata au wilaya sio Kwan hamna nafas zingne Zaid ya hyo bossOkay mkuu Mwl. Mdoe, bora umeuliza kabla ya kufanya maamuzi.
Una namna 2 ya kuhama fani yako ya sasa:
1. Kuomba kazi upya/uhamisho kwenda kwenye kazi nyingine nje na ualimu. Ziko Taasisi nyingi tu zinapokea mtu mwenye Degree ya Education kwa majukumu tofauti tu. Bahati mbaya walimu hawajui hizo fursa.
2. Kusoma degree upya ya fani unayoipenda then uombe ajira tena serikalini au uombe re-categorisation (kuhama kada). Wakati unatuma maombi haya hutopoteza ajira yako ya awali.
Kuhusu kusoma Masters;
Ajira mpya na kuhama kada serikalini level ya mwisho ni degree isipokuwa kwa Lecturers, madaktari bingwa na wakuu wa Idara na Taasisi.
Kwa hiyo ukienda kusoma Masters yoyote nje ya Education hutoweza kuajiriwa au kubadilishiwa kada hadi uwe na cheti cha degree cha taaluma unayotaka kuhamia.
Kadhalika, ukienda kusoma Masters ya Education pia hutoweza kwenda kokote zaidi ya kusubiri uteuzi wa uafisa Elimu.
Ushauri wangu: Kama lengo ni kuacha chaki, tumia degree yako hiyo hiyo ya Education kuomba nafasi ya kuhamia Taasisi nyingine. Lakini kama kuna fani maalumu umeilenga, basi karudie degree yake. Kusoma Masters utapoteza muda na pesa unless unataka uvizie uafisa elimu.
Vile vya wizarani ni kama vipi mana hyo nafkr ndo target yng zaidKama hutaki kuhama kada basi ukisoma Masters utakuwa na option ya uafisa Elimu Wilaya tu. Afisa Elimu Kata haihitaji kuwa na Masters, ni degree tu.
Kumbuka katika ajira yako ya ualimu hakuna vyeo zaidi ya ukuu wa shule, Afisa Elimu kata na Uafisa Elimu Wilaya na mkoa. Labda na vile vyeo vya Wizarani.
Kama hutaki kuhama kada basi ukisoma Masters utakuwa na option ya uafisa Elimu Wilaya tu. Afisa Elimu Kata haihitaji kuwa na Masters, ni degree tu.Sorry niltaman tu kusoma masters ya kada yangu hii hii sijahtaj kuhama career na kuhusu kusubil nafas ya uafisa elimu kata au wilaya sio Kwan hamna nafas zingne Zaid ya hyo boss
Sina hakika sana coz wizarani kuna vyeo vingi japo vile vikubwa vingi ni vya uteuzi.Vile vya wizarani ni kama vipi mana hyo nafkr ndo target yng zaid
Ha ha ha haaah, ngoja nije inbox kkBwana hamza kwema ndugu yangu, bahati nzuri tunafahamiana vizuri tumesoma chuo kimoja tumemaliza 2015, mkuu hiyo gpa haina shida swala ni moja masters ya ualimu haikuongezei mshahara wala haikupi guarantee ya kupanda cheo, kama unataka kuhama kada fata maelekezo ya ngariba one, ila kwa sisi ambao tulisoma ualimu na hatukuajiriwa kwenye ualimu tumetumia njia ya kwenda kusoma post graduate BA na kutafuta masters MBA, Tupo kwenye makampuni, busness admistration, inategemea lengo lako ni nini hapo baadae , au teuzi maana nmekuona kwenye chama
Kuna vile vya halmashaur wasaidiz WA ded ,, DEO etc vp hiv havihusian na mastersSina hakika sana coz wizarani kuna vyeo vingi japo vile vikubwa vingi ni vya uteuzi.
DEO=District Education Officer yaani Afisa Elimu Wilaya. Ndio mkuu wako wa Idara. Rejea maelezo yangu ya awali mkuu, nimemtaja.Kuna vile vya halmashaur wasaidiz WA ded ,, DEO etc vp hiv havihusian na masters
Nimekupata bossDEO=District Education Officer yaani Afisa Elimu Wilaya. Ndio mkuu wako wa Idara. Rejea maelezo yangu ya awali mkuu, nimemtaja.
Kwakifupi serikali inaajiri kwa vyeti vitatu tu; 1. Astashahada 2. Stashahada 3. Shahada.
Mtu anaweza kuajiriwa au kubadilishiwa muundo wa utumishi kwa kigezo cha Masters kwa ajira za wakufunzi vyuo vikuu, madaktari bingwa na wakuu wa vitengo vya taasisi chache sana kama TRA.
Hao watumishi wa halmashauri mwisho ni degree. Hapo Masters ni kwa wakuu wa Idara tu.
Pia soma maelezo ya Burungutu sandawesu , kaeleza vizuri
Namshukur xana Kwa ufafanuz huu kiongozDEO=District Education Officer yaani Afisa Elimu Wilaya. Ndio mkuu wako wa Idara. Rejea maelezo yangu ya awali mkuu, nimemtaja.
Kwakifupi serikali inaajiri kwa vyeti vitatu tu; 1. Astashahada 2. Stashahada 3. Shahada.
Mtu anaweza kuajiriwa au kubadilishiwa muundo wa utumishi kwa kigezo cha Masters kwa ajira za wakufunzi vyuo vikuu, madaktari bingwa na wakuu wa vitengo vya taasisi chache sana kama TRA.
Hao watumishi wa halmashauri mwisho ni degree. Hapo Masters ni kwa wakuu wa Idara tu.
Pia soma maelezo ya Burungutu sandawesu , kaeleza vizuri
Hongera sana Mkuu. Mbali na kupata teuzi au kuwa mkubwa Kusoma kuna faida nyingi sana. 1. Connection ya marafiki. 2. Kupumzika na hizi kazi maana kufundisha si kazi ndogo 3. Sifa zaid.HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower second.
Je, naweza kujiendeleza masters KATIKA course gani ambyo itakuwa na FURSA mbalimbali zenye kufit ktk career yang ? Na vyuo gani ni vzur kwenda kusoma?
Naomba ushauri wenu wadau mana nawaza kusoma tu sasa hivi.