Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

Vyeo vya kada ya ualimu si michezo hata mm nimefikiria kihama hii field lakini sioni njia Bora utafute Nafasi ya kuamia vyuo vya Kati kwenye ukufunzi kidogo unaweza pata ahuweni kuliko serikali za mitaa ni shida tu
 
Back
Top Bottom