Court yawachilia Gen Z 50 protesters wa 2024, maandamano case yatupiliwa mbali!

Court yawachilia Gen Z 50 protesters wa 2024, maandamano case yatupiliwa mbali!

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, hii ni big win kwa vijana! Baada ya karibu miaka mbili ya kusota kortini, vijana 50 waliokamatwa wakati wa maandamano ya 2024 Ongata Rongai finally wameachiwa huru. Court ya Ngong imesema case ya serikali haikuwa na msingi boom.

Hawa vijana walikamatwa wakati wa zile maandamano kali zilizokuwa zimetikisa nchi, zikichochewa na hasira ya Finance Bill 2024 pamoja na high cost of living. Wengi wao walikaa na kesi kwa miezi mingi, maisha zikasimama, stress kwa familia pia ilikuwa real.

Lakini sasa justice imeonekana. Court ruling imeleta relief kubwa, si tu kwa wale 50, but pia kwa wengi waliokuwa wanafuatilia hii case kama symbol ya what Gen Z walikuwa wanapigania.

Kumbuka ile kipindi ya Gen Z protests Kenya 2024 streets zilikuwa moto, social media nayo ilikuwa imewaka. Vijana walijitokeza kupinga hali ya uchumi na governance, na serikali ilijibu kwa arrests nyingi across the country.

Sai hii acquittal inaonyesha kitu moja clear sometimes system inaweza kuwachelewesha watu, but mwisho wa siku ukweli hujitokeza.

Swali ni: je, hii ruling itabadilisha namna maandamano na arrests zitashughulikiwa in future?

SOURCE: GHAFLAKENYA
 
Back
Top Bottom