Cover Letter ni nini?

Cover Letter ni nini?

Kuna shirika limetangaza nafasi za kazi na wanahitaji kuattach kitu inaitwa COVER LETTER sasa naomba msaada hii cover letter ndo inaandikwaje?
COVERING LETTER
HII NI BARUA AMBAYO ITAELEZA KWA UJUMLA MAMBO YA MSINGI YOTE ULIYYOWASILISHA KWENYE MAOMBI YAKO

MFANO.
UMEOMBA KAZI KWA DOC XIFYATAZO
1.BARUA YA MAOMBI
2.CHETI CHA UMAHIRI
3.CHETI CHA CHUO
4.CHETI CHA F. IV
5.CHETI CHA F.VI
6. NAKALA YA NIDA
7.CV
8.COMPUTER CERTIFICATE

HAPA COVERING LETTER YAKO UNAWEZA KUWA
1. ANUANI UTAANDIKA KAMA KAWAIDA
2.HEADING.

..."COVERING LETTER"
With reference from the heading above,
My application submitedd to your office covers the following documents.
1.Application letter
2.Professional certificate
3.college/University certificate
4.Form six certificate
5.Form four certificate
6.NIDA
7.Computer certificate
8.cv

Mwisho utamalizia Kama KAWAIDA.

"Hii itasaidia kuwa na UHAKIKA was taarifa ulizowasilisha WAKATI wa kuomba hiyo KAZI"
 
Back
Top Bottom