Cover letter

Cover letter

Sijakuelewa.................ngoja nisubiri waliokuelewa wakujibu
 
Ndugu wa JF hivi kwenye cover letter kuna heading kama barua ya kawaida(official)? Na anuani ni poja au mbili? Mwenye kufahamu anijuze. Nawasilisha


low thread

stupid Rudi shule ukasome,,vipi umamaliza vodafasta?
 
Ingawa ni jukumu letu kusaidiana, lakini this raises questions, how can one be a graduate and yet fail to write a cover letter? Just google my buddy!
 
Mdau cha msingi cha kuzingatia neno cover letter lisikutishe wala nini. Cover letter ni official letter tulisoma primary hadi chuo kwenye communication skills mwaka wa kwanza cjui chuoni kwenu. katika aina za barua mojawapo ni barua ya kikazi na barua ya kirafiki.
kwa hiyo cover letter ni barua ya kikazi. upo hapooooooooooooo?
 
Acheni hizo bana, mwenye kujua the most preferable format in Tanzania tafadhali amjuze.
Mimi najua kuna format tofauti tofauti za hizi official letters.
Lakini ambayo imezoeleza sana kwa upande wa job application ni ile yenye sender's address top right corner, receiver's address inakuwa upande wa kushoto zinapishana na senders address.
Then inafuatia salutation ( Dear sir/ madame au waweza taja jina kama wamfahamu unayemtumia.
Baada ya hapo inafuata title, then main content ( ambapo kila paragraph ina umuhimu wake),paragraph ya mwisho kabisa ni closing remarks, itafuatiwa yale maneno yetu ya yours faithfully, sincerely yours, thank you etc
Baada ya hapo ni signature, ikifuatiwa na majina yako kamili kwa chini.
NB; I stand to be challenged maana kila siku tunajifunza maarifa mapya.
 
Kumbuka pia kwenye uandishi wa hizi cover letters kuna american style kama sijakosea inaitwa full block format ambayo kuanzia address zote na kila paragraph inakuwa aligned upande wa kushoto. Lakini format hii haijazoeleka sana kwa waajiri wengi nchini mwetu.
 
Nakusaidia chini kwenye sahihh,kwa kuwa huwezi iweka pale unashauliwa uandike majina yako mawili kwa italic then chini yake majina hayo mawili kwa kawaida.that is all.
 
low thread

stupid Rudi shule ukasome,,vipi umamaliza vodafasta?


Please Jeykey, u can't understand these pple unless uwe umewahi kupitia the same route!!! Really imeni-touch!!! ukiona mtu anafikia hadi kuuliza jambo kama hilo ujue kahangaika sana hadi anahisi huenda tatizo ni vile anavyoandika cover letter! Muelimishe, otherwise u better keep quite kuliko kuwa rude kiasi hicho!! Akajifunze wapi ikiwa wewe ambae ungeweza kumfuza hutaki kumfuza na yule anbae angemfunza ameshindwa kumfunza?!
 
nilikuwa na kataa dhana kuwa watanzaia hatuko competant na sasa nakubali, inakuaje graduate hujui cover letter ni nini?
 


Please Jeykey, u can't understand these pple unless uwe umewahi kupitia the same route!!! Really imeni-touch!!! ukiona mtu anafikia hadi kuuliza jambo kama hilo ujue kahangaika sana hadi anahisi huenda tatizo ni vile anavyoandika cover letter! Muelimishe, otherwise u better keep quite kuliko kuwa rude kiasi hicho!! Akajifunze wapi ikiwa wewe ambae ungeweza kumfuza hutaki kumfuza na yule anbae angemfunza ameshindwa kumfunza?!


Only the wearer knows where the shoe pinches
 
low thread

stupid rudi shule ukasome,,vipi umamaliza vodafasta?

mtake radhi kwanza ya kuendelea;sidhan ni maneno uliofudishwa na wazazi wako wakikosea unawaita stupid..simjui hunijui lakini si vyema hapa mahali pa kufundishana na mwisho nashindwa hata kukushauri maana naona ni wale wale
angejua hilo asingekuja hapa na kwa heshima kuna wanaoingia net na kulipa sababu ya kujua nini kuna jf unavyopata moderm ya kampuni na kuanza kutukana matusi inakuwa aipendezi ..hope mhusika amekwishakusamehe
 
Mwingine si kwamba hajui kuandika, but ajira siku hizi ni shida sana kupata. Hivyo mtu anaona ni bora aulize ili ajifunze ni wapi labda anakosea anakuwa haitwi hata kwenye interview.
Hivyo nawasihi wana JF wenzangu tuvumiliane.
 
vp mkuu umeshafanikiwa? Kama bado tujuze ili tuendelee kukupa somo na ikibidi eleza ni wapi panapokutatiza.
 
Itategemea unatumia njia gani kuituma, lets say ni kwa njia ya email; mtindo huu haukupasi kuweka addrss kama vile unatuma barua kwa posta

Please find enclosed a copy of my resume in support of my application for the post on the subject above which was advertised on the Gazeti letu of August 05, 2011.

My experience is, as you will see, very relevant for the needs of this vacancy.

I hope that you will find my details of interest, and I will, be happy to be given the opportunity of expanding upon them at interview.
I look forward to hearing from you in due course

Yours faithfully
tnm
Tumbo Njaa ya Mshahara
Kama unatumia aina ya barua tunazotuma posta, ni vizuri ukafuata njia tuliyozoea yaani anuani mbili, yako kulia na ya unakotuma shoto, soma wadau wameeleza nn itasaidia sana
 
Kuuliza sio ujinga, Asanteni sana kwani hata mimi nimejifunza mengi. Though nimekuwa nikituma nyingi tu.
 
mambo. Cover letter ni tofauti na barua ya kuomba kazi ingawa zinafanana kidogo. Format ambayo ni common sana ni hii:
Adress yako inaanza kushoto, kisha tarehe,kisha adress ya mwajiri upande uouo wa kushoto,kisha salutation yani dear sir/madam, then haina kichwa cha habari, utajieleza kidogo then utauza sera then ni vizuri mwishoni ukaandika namba zako za simu.
ZINGATIA: cover letter inahighlight cv na sanasana katika skill na competence zako kulingana na kazi uliyoomba. Waajiri wengi hasa kwa kazi zinazotangazwa online huwa wanataka cv na cover letter kwanza,huwa hawataki copy za vyeti katika hatua hii. Kwa nnavyojua ni hivyo manake nimeandika sana hizo hasa nilipokua naomba kazi online. Shukran.
 
Back
Top Bottom