Aliyefanya mixing na mastering ya huu wimbo bado mchanga sana, reverb gani hiyo yenye release ya haraka kiasi hicho? Ukisikiliza kwa sekunde kadhaa unagundua hata Microphone Quality nayo ina shida, sijui wame-cut frequency kwa kiasi gani maana inakuwa kama sauti inabanwa na kuachiwa kwenye pipe iliyo kama syringe.
Kiukweli hii ni famba grafe A+