Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mimi sijui tiba ya Corona ila haimaanishi siwezi kujua taarifa za kupotosha ambazo hazimsaidii ki vyovyote mtu aliyepata huo ugonjwa.Njia mojawapo ya kupambana na huu ugonjwa ni kutoa taarifa sahihi. Pale ambapo hatujui,tukiri tu hatujui kuliko kuzidi kupotoshana.
Mkuu Hakuna sumu hapo imewekwa kwamba ukitumia utakufa halafu Taarifa yako isiyo ya magumashi kwann huiweki isaidie watu?