Mkuu Hakuna sumu hapo imewekwa kwamba ukitumia utakufa halafu Taarifa yako isiyo ya magumashi kwann huiweki isaidie watu?
Ok tiba hujui, ila unajua kuwa hizo information ni upotoshaji, halafu Unasema hivyo ni upotoshaji kutokana na ingridients za hivyo vyakula kutokuwa sahihi si ndio?Mimi sijui tiba ya Corona ila haimaanishi siwezi kujua taarifa za kupotosha ambazo hazimsaidii ki vyovyote mtu aliyepata huo ugonjwa.Njia mojawapo ya kupambana na huu ugonjwa ni kutoa taarifa sahihi. Pale ambapo hatujui,tukiri tu hatujui kuliko kuzidi kupotoshana.
Ok tiba hujui, ila unajua kuwa hizo information ni upotoshaji, halafu Unasema hivyo ni upotoshaji kutokana na ingridients za hivyo vyakula kutokuwa sahihi si ndio? Ukisahihisha zikawa sahihi na binadamu akatumia ili kuimarisha kinga yake dhidi ya covid hivyo vyakula vinageuka kuwa sumu mwilini? Maana watu wametumia na wakarudi sawa ss sijakuelewa hitimisho lako kuwa si salama linabase kwenye nn.