COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Siku hizi ameanza kupotea just imagine mada ni covid Wuhan lakini yeye mpaka story za ugaidi wa balozi za dar es salaam ,mara mambo ya masai wa morogoro ,anatoka hapa anarukia kwingine ndani ya story ile ile moja
Mkuu huo ndio uandishi wake wa siku zote. Halafu naona una kitu personal na The Bold maana tangu post zako za juu hapo unamuattack sana halafu sababu zako hazina mashiko, kama wewe ni msomaji wa makala zake kuunganisha matukio sio jambo geni (ingawaje siku hizi anatuburuza kweli[emoji16][emoji106]). Ila ni kawaida yake

Punguza hate mkuu, relax.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]mpaka sasa nishasahau tumetoka wapi.

anyway tuendelee kusubiri huwenda mbeleni mambo yatakaa sawa.
Tutaenda kurudi njia kuu huko mbeleni...ila mpaka sasa tunachojua tumetoka "Wuhan"...destination "unknown".

sent from Samsung Galaxy A30
 
Umetisha mkuu
 
Unasoma vitabu mbalimbali unaweka na mawazo yako kiasi unachanganya stories nusu nusu kqa kadiri unavyosoma na kutafsiri. Story haipo direct chai nyingi sana ili iwe ndefu. Ukimaliza chini weka sources zako maana usiandike kama vile wewe ulihusika au ulikuwepo kwenye haya matukio.mnapoandika mada humu ndani muwe mnakumbuka na sisi tupo siyo kwamba wote ni vilaza hawajielewi kama i avyoonekana kwenye comments za wengi.
 
Soma hiyoo
 
Unabore sana maelezo mengi hueleweki hata unataka stori iwe ndefu kuna mdau hapaaa Mizani kaandika shortcut flani lakini kaeleweka mi kuanzia leo sisomi story zako ubabaishaji ni mwingi
Mbona kuna nyuZi nyingi sana za size yako mfano ile ya kula tunda kimasihara,ungeenda Kule,humu unatuletea hasira tusije tukakuponda hicho kichwa chako kama cha koboka
 
Siku hizi ameanza kupotea just imagine mada ni covid Wuhan lakini yeye mpaka story za ugaidi wa balozi za dar es salaam ,mara mambo ya masai wa morogoro ,anatoka hapa anarukia kwingine ndani ya story ile ile moja
Kuna mambo ambayo ni complex huwezi kuyaelezea kirahisi lazima uchimbe deep ili uweze kueleweka watu wenye vichwa vya nyoka vyenye IQ ndogo kama chako si rahisi kumuelewa maandishi.Napendekeza urudi kwenye thread ya saizi yako ile ya kula tunda kimasihara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…