COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

tuko pamoja mzee baba naomba unambie kitabu cha ujasusi chochote kizuri nikipurchase online now mkuu

Naomba sana au kitabu chochote unachoweza hisi kitanisaidia nipate maarifa
Chiefs,

Naona tuko wengi sana ambao tulikuwa tuna-enjoy na kuelewa ule mtiririko ambao awali tulianza nao.

Tuwe wavumilivu kwa siku chache tu hizi nimalizane na "umma" kisha tuanze uzi "wetu" mpya.

Hakuna kilichoharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkulima wa mahindi
 
Na hapo bado... ningewapeleka Russia, Afghanistan, visiwa vya Diego Garcia alafu tungeibukia Minnesotta Marekani.
Haujakavaa vizuri mara tumeingia BDN, FBI, BIR.
Wakati huo India inakuja, inakataa..

Yani bro ungechoka haswaaaa si kitoto
Yaan hiki ni *KIDOKEZO* tu kma alivosema ila tumefikshwa huku. Tumezunguka Marekani kwa CIA, NSA na idara zote zaulinzi, tumpita mashariki yakati yote mpaka morogoro tumefika

Jamaa ametuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo bado... ningewapeleka Russia, Afghanistan, visiwa vya Diego Garcia alafu tungeibukia Minnesotta Marekani.
Haujakavaa vizuri mara tumeingia BDN, FBI, BIR.
Wakati huo India inakuja, inakataa..

Yani bro ungechoka haswaaaa si kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3069]

Mkulima wa mahindi
 
Hapana mkuu... wacha tumalizane na 'umma' kwa siku chache hizi alafu tuanze uzi wetu mpya wa size yetu.
Hakuna lililoharibika chief
Hapo mkuu bold umeushangaza umma kubadilisha mtiririko wa story, kisa vilaza wachache wanalialia, mbona tunaielewa vizuri story,umeamua kuwafurahisha vilaza huku sisi tunaoelewa ukituacha kwenye oblivion,hanna mtu amelazimishwa kusoma hii makala kwahiyo kama haelewi aende kusoma thread ya kula tunda kimasihara maana ndio thread ya uwezo wake wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kitu ulitugusia sehem ya 7 kuhusu ulivokutana na eliekua mstahik naibu meya wa morogoro wakati wa hekaheka za uchaguzi mdogo waudiwani.

Ulisema mpwa alitaka "uchore mchoro" namchoro ukachorwa napema akatangazwa kua mshindi. Unaweza kutupitisha apo kwakirefu mkuu?
Hio pia ilikua ni mision yakijasusi au? Habibu B. Anga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli muandishi amezingua sana. zaid ya wiki 2 mwanzoni mwahii makala kunasehem alirukia kuhusu tukio lilitokea iraq akatuambia tukariri wahusika wahilo tukio kina raymond, fahad na faheem lakin nahis ata yeye niamesahau kua alisema tukarir hao wahusika manake haku waongelea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na kichwa chepesi huwezi kuelewa, lakini kila kitu kilikuwa kinaeleweka vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Makala nzuri sana na imesheheni mambo mengi na ya kufumbua macho na kufunza sana.

Flow ya makala hii [kutokana na Utangulizi wake] unaonyesha suala la Covid-19 ni suala la kiusalama zaidi kuliko kiafya. Rais JPM alifanya kikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, na nadhani ndio kikao na muongozo wa kwanza, baada ya kimya kirefu, kuhusu suala hili. Unadhani serikali ya Tanzania nayo inalitazama suala hili kwa jicho hilo pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom