COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

tuko pamoja mzee baba naomba unambie kitabu cha ujasusi chochote kizuri nikipurchase online now mkuu

Naomba sana au kitabu chochote unachoweza hisi kitanisaidia nipate maarifa
Mkulima wa mahindi
 
Na hapo bado... ningewapeleka Russia, Afghanistan, visiwa vya Diego Garcia alafu tungeibukia Minnesotta Marekani.
Haujakavaa vizuri mara tumeingia BDN, FBI, BIR.
Wakati huo India inakuja, inakataa..

Yani bro ungechoka haswaaaa si kitoto
Yaan hiki ni *KIDOKEZO* tu kma alivosema ila tumefikshwa huku. Tumezunguka Marekani kwa CIA, NSA na idara zote zaulinzi, tumpita mashariki yakati yote mpaka morogoro tumefika

Jamaa ametuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3069]

Mkulima wa mahindi
 
Hapana mkuu... wacha tumalizane na 'umma' kwa siku chache hizi alafu tuanze uzi wetu mpya wa size yetu.
Hakuna lililoharibika chief
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kitu ulitugusia sehem ya 7 kuhusu ulivokutana na eliekua mstahik naibu meya wa morogoro wakati wa hekaheka za uchaguzi mdogo waudiwani.

Ulisema mpwa alitaka "uchore mchoro" namchoro ukachorwa napema akatangazwa kua mshindi. Unaweza kutupitisha apo kwakirefu mkuu?
Hio pia ilikua ni mision yakijasusi au? Habibu B. Anga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na kichwa chepesi huwezi kuelewa, lakini kila kitu kilikuwa kinaeleweka vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Makala nzuri sana na imesheheni mambo mengi na ya kufumbua macho na kufunza sana.

Flow ya makala hii [kutokana na Utangulizi wake] unaonyesha suala la Covid-19 ni suala la kiusalama zaidi kuliko kiafya. Rais JPM alifanya kikao na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, na nadhani ndio kikao na muongozo wa kwanza, baada ya kimya kirefu, kuhusu suala hili. Unadhani serikali ya Tanzania nayo inalitazama suala hili kwa jicho hilo pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…