Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #781
PICHA 1: Kila kijiduara kinawakilisha chombo cha usafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ITAENDELEA...
The Bold - 0718 096 811 (WhatsApp Only)
Note: Hiki kitu sijui niseme mara ngapi... ninapokuwa kimya tafadhali kuweni wavumilivu. Nami nina majukumu pia, ni mtumishi mahala, pia nina familia, ndugu na jamaa ambao wananitegemea. Kuna wakati yanipasa nitumie muda wangu kwa ajili ya hayo majukumu mengine. Tuwe na utulivu na uvumilivu tafadhali.
Kuna wale wanaopenda kulinganisha kwamba huku sipost lakini kwenye group langu la WhatsApp napost, wanakosea sana. Nitakuwa sitendi haki kama nikiwapostia huku sawasawa na wale walionifata WhatsApp kuniunga mkono nipate japo hela ya Soda. Kule ni "premium" kwa hiyo najitahidi kuwapostia mara nyingi kadiri niwezavyo.
Lakini hapa Jamii Forums ni nyumbani na kamwe sitoacha kupost Makala.
Ukiona niko kimya basi ujue kuna sababu moja tu... nimebanwa na masuala mengine...
Wale watukanaji waendelee... iko siku nitawateka (LOL utani... waendelee kutukana maana kama wampiga chura teke).
Imekaa sawa...
Habib "The Bold"
Kabisa hizo dots hata mimi zinanitatiza .Iko sawa. Umeeleweka sana....
Naomba uzame chimbo kuhusiana na jambo moja nakuomba...
Trend ya Covid-19, Bill and Melinda Gates "Kuhusiana na chanjo", USA election, George Floyd Death, Maandamano USA na nchi zingine za Yuropa na msimamo wa Trump!
Naomba msaada kuunganisha hizo dots... Yamkini zinaweza zisiwe na mahusiano na hili, lakini kwa nini sasa?
Je mpango wa Covid hauwezi kuwa umeingia kirusi baada ya haya maandamano kudai haki za George Floyd?
Au je, Covid, Maandamano ama Kifo cha Floyd ni kutafutwa kwa Donald Trump?
Wasikilize Obama na Democrats wananavyo act sasa, Je Trump yawezekana ni kizingiti cha kukamilisha mpango wao wa Covid??
Msaada!
Iko sawa. Umeeleweka sana....
Naomba uzame chimbo kuhusiana na jambo moja nakuomba...
Trend ya Covid-19, Bill and Melinda Gates "Kuhusiana na chanjo", USA election, George Floyd Death, Maandamano USA na nchi zingine za Yuropa na msimamo wa Trump!
Naomba msaada kuunganisha hizo dots... Yamkini zinaweza zisiwe na mahusiano na hili, lakini kwa nini sasa?
Je mpango wa Covid hauwezi kuwa umeingia kirusi baada ya haya maandamano kudai haki za George Floyd?
Au je, Covid, Maandamano ama Kifo cha Floyd ni kutafutwa kwa Donald Trump?
Wasikilize Obama na Democrats wananavyo act sasa, Je Trump yawezekana ni kizingiti cha kukamilisha mpango wao wa Covid??
Msaada!
Sasa uwe unatutaarifu maana wengine tunaweka bando kuangalia mwendelezo kaka
Pole sana mjomba..... (Na Mimi ni mpwa[emoji23][emoji23])Loh chief umenitonesha kidonda...
Nilikuwa nawachambulia Wapwa zangu hawa kwa undani namna gani Deep State ina-oparate lakini kuna waungwana wakaanza kulalama kwamba nawachanganya hawaelewi niende moja kwa moja nieleze kuhusu Wuhan.
Ikabidi nikatishe uhondo niwaeleze hiyo Wuhan kama unavyoona hapo.
Wangeniacha tungenufaika sana na mjadala wa Deep State.
Kama ni mfuatiliaji wa mambo kuna masuala kadhaa utakuwa umetagundua.
Suala la Covid-19 haliongelewi tena. Ghafla tu hakuna anayezungumzia 'social distancing' wala kuvaa mask... badala yake watu wale wale ambao walikuwa wanahamasisha watu wakae ndani ndio hao hao ambao wanahamasisha watu wakaandamane badala ya kufanya 'social distancing'.
Do you think its a coincidence?? No no no... kuna viti kwenye hii dunia vinatokea tunadhani ni bahati mbaya ila kiuhalisia viko planned careful and meticulously.
Hawa wapwa zangu wangeniacha nichambue kuhusu Deep State kisha niingie huku kwenye Corona tungeelewa kwa wepesi sana hata maana ya haya maandamano makubwa ambayo yanaendelea kwenye za magharibi.
Ila kama ambavyo nimeahidi... nikimaliza hii ya Covid-19 nitaanza Deep State kwa wale wenye misuli ya kusoma vitu vigumu.
Wewe ndio uhuelewi tulishasema humu hili ni jukwaa la Inteligence, my friend kama hufit nenda zako MMU basi.Anaboa sana, mara alete ishu ambazo hata hazihusiana na storry. Sifatlii tena mana hakawihi kuachia njiani
Pole sana mjomba..... (Na Mimi ni mpwa[emoji23][emoji23])
Mimi ninafuatilia kiasi kidogo sana, ila hii issue imekuja na vurugu nyingi sana, ndo maana nikaomba hizi dots ziunganishwe.
Tunausubiri huo uzi, ila si mbaya ukawa unatoneshea tone tone kidogo kwenye uzi wa Wuhan pekee.
Najua mambo ni mengi na muda unaenda kasi sana, Mungu akuweke na akupe wepesi, utuvumbulie vitu!
AmenAmen chief... tuko pamoja
Ebwanaeeh! Habibu akitupia lazima utasoma tu hata kama hutakikitu kibaya mtu kukukatisha utamu. Mimi nitakuwa sifuatilii story zako Habibu kwa maana najua hautomalizia km nyingine nyingi za nyuma
Watu wanadhani Habibu yeye hana Maisha Mengine. Wakati tunalalamika humu unaweza kukuta kumbe anauguza mwanae yuko Mahututi hapa Bugando Hosp.Kuandika inahitaji moyo.
Duh, sasa mzee kama unataka stor fupi si uende insta na Fb mzee. Hapa hapakutoshi, wabongo wavivu sana ndomana Mzungu atatutawala miaka yote duniani,Unabore sana maelezo mengi hueleweki hata unataka stori iwe ndefu kuna mdau hapaaa Mizani kaandika shortcut flani lakini kaeleweka mi kuanzia leo sisomi story zako ubabaishaji ni mwingi