COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation

The problem Tanzania have got is how it will manage to come out unscathed due to non-revenue from tourists and a curtail in exports.
 
Acha tuone ubishi wenu utaishia wapi si mlisema watu wakienda ktk ibada gonjwa hili litaisha? Yaani Madikteta wanajionaga wao ndio wana mawazo mazuri, wazalendo wacha Mungu. Hata Marekani ilipo waambia kuwa Bashite anaua watu hamkuchukua hatua yeyote sasa kibri hiyo itawatokea puani pimbi ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni tu ukweli dikteta wenu Magufuli kua amearibu uchumi wa nchi kwa kuzivuruga sekta binafsi. Na pia aache kuamini kwamba ukiwa dikteta ndio unakua mungu mtu.
Mambo ya kuzunguka mbuyu ndio unafiki wenyewe. MaCCM wanafiki sana nyie.

TumainiEl, Muda ndio huu kabla ujaondoka na Corona TUBU SEMA/twambie mmefukia wapi mtanzania mwenzenuu Mwana wa Saanane?
 
Kiongozi mmoja alisikika akisema corona ni kaugonjwa
Bwana wee....ni ajabu saana
Haka kaugonjwa hakachagui mtu wala cheo...kakikutembelea na kama uliwahi kupanga foleni kwenda kwa babu basi ujue ni tamati...

Covid 19 isikie kwa jirani ndugu!! Covid 19 ni terminator...

Watu 2000 kwa siku nchi moja wanaondoka unaita kaugojwa...tema mate chini....
 
Ukishaona kipindi hiki mtu anaandika au kusema pray sijui for the nation sijui nini huyo ni mjinga tu! Kipindi hiki cha Corona dini haina msaada wowote na hili halihitaji uwe na PhD ili kujua hilo, Italy kule ni makao makuu ya dini fulani na pia kaburi la Petro liko huko ila wamechezea kichapo ambacho siyo cha nchi hii. Kinachotakiwa ni hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya Corona pamoja na strong leadership
 
TumainiEl, ...hakikisha huweki vidole vyako kwenye mikono......chukua prikosheni ya haya mambo yote yalivoelekezwa na wazira ya afya..". kwa sauti ya mkuu sana mwenye mkoa wake.
 
Ni lazima hatua za udhibiti ziongewe ikiwemo kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima na kufuata ushauri wa wataalamu. Vinginevyo....
 

Serikali ilisema ina akiba ya miezi 6 bila kufanya kazi. Hamad muda wa ukweli kufahamika.
 
Mkuu TumainiEl kuna watu humu ukiona wanashauri kitu flani au wanapinga au wanalaumu hatua zilizo chukuliwa na Mh. Raisi inabidi uchukue maneno yao kwa tahadhari sana na usiwabeze hata kidogo.

Maana kundi hilo la watu wachache sana hawana itikadi za kujipendekeza au za chuki au ukabila au uchama, halina woga wa kuogopa kumkasirisha boss, haliogopi kutumbuliwa linachangia mawazo huru yenye mantiki. Kundi hili ambalo wengi wao siyo wanasiasa linastahili kupewa uzito mawazo yao huru.
Kundi hili lilisha shauri na kupendekeza cha kufanya wakati muafaka kabla mambo hayaja haribika na kuwa 'too late to do the right thing'.

Kuna watu hatuoni fahari kuja kusema "angalieni sasa kiko wapi?, mimi nilisema na imetokea vile vile".
Kama unaweza kuokoa watu wasife, wasiteseke au viongozi wako wasijingize kwenye mtego unashauri mapema tu.

Tulisema hapa hatutaki kuja kuonekana manabii kwa mambo yaliyo wazi.

Kumradhi kama kuna mtu au taasisi nimewakwaza, lengo siyo kutishana.
 
Mkuu hii hadithi inahusu nchi gani? Yaani nchi tajiri,nchi ambayo uchumi unakuwa kwa kasi kuliko nchi yoyote,nchi iliyowekeza kwenye madege,mareli,maflyover na mabarabara kuliko nchi yoyote Africa inaweza kuwa hoe hoe kwa namna unavyoosimulia hapa? Tuheshimiane mazee
 
Wakati mwingine ndugu yangu unakuwa na hoja, si kama kule nyuma na hasa jambo linapohusu siasa . Huwa unakuwa kati hao wafuasi unaowakemea leo !!.

Ushauri kama huu ulitakiwa uwe unautoa hata kuhusu suala la siasa na democracy. Siyo uwe na sympathy kwenye swala uchumi na Corona . (USHAURI TU)

Odhis *
 
Unataka kusema Magufuli aliamrishwa na beberu asifunge mipaka yetu? Mkuu acha utani wa ngumi huo,tangu lini rais akapangiwa?
 
We're donor country chini ya uongozi wa kiongozi wa malaika mtarajiwa so relax man.By the way ukiangalia posts za wanaccm za two or hree weeks ago walikuwa wanasifu strategies za mtukufu katika kupambana na corona sasa mnalia lia Nini? Ingeanza kubeba wanaccm ingekuwa poa zaidi. Mimi namwomba Mungu kiongozi yoyote yule wa ccm akipelekwa hospital tu kwa kesi ya corona,manesi na madaktari wamsukumizie ahera faster
 
COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation
Kwa mawazo yako COVID-19 imewahi au imechelewa na je kipindi kizuri kwa COVID-19 kutukuta kingefaa kiwe kipi...? Je zaidi ya ku-pray for the nation, tungechukua hatua gani katika kipindi hicho muafaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…