Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona covid-19.
Tayari leo Simba Sports club ishapoteza mmoja wa viongozi mashuhuri ambaye siku chache alihojiwa na kusema wazi anaugua covid 19. Sasa mtu kama huyu maarufu keshachanyikana na watu wangapi? Kaambukiza wangapi? Jamani tunalichukulia kimzaha suala la huu ugonjwa wa covid 19, itafika siku tutakuwa hatuna budi kukaa nyumbani maana hata makazini hakutakalika.
Kuna tabu au tatizo lipi kwa wizara bila kujali lawama,shutuma n.k kupiga marufuku mikusanyiko yote iwe ya mipira hasa simba na yanga, mikutano ya kiinjili, mihadhara ya kiislamu, matangazo ya kibiashara, upigaji muziki unaokusanya watu, mikutano ya hadhara ya vyama n.kNYIE WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INABIDI MCHUKUE UAMUZI MGUMU.